Wasomaji wangu,
Kwanza lazima nitoe msamaha wangu wa dhati kwa kutulia kwa kipindi
cha muda mrefu. Nimerudi kwa kishindo na nimeandaa makala muhimu ambayo
yanaelezea baadhi ya mambo ambayo ninayaona kuwa muhimu.
Tegea makala yangu baada ya muda mfupi.
Wasaalam,
Lorot
No comments:
Post a Comment